Jobs In Nafasi 1000 Za Mafunzo Ya Stadi Za Kutengeneza Viatu

1. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Aira, na Wenye Ulemavu (OWM-KVAU) inatekeleza program ya kukuza stadi za kazi nchini ya miaka mitano 2016-2021 amabayo imelenga kuwezesha nguvu kazi ya Taifa kupata ujuzi na kazi stahiki ili kumudu ushindani katika soko la ajira. hivyo OWM-KVAU imeingia makubaliano na Taasisi ya Teknolojia Daer es Salaam ya Mwanza kutoa mafunzo ya stadi za kutengeneza viatu vya ngozi na bidhaa za ngozi. lengo ni kuhahikisha nchi inakuwa na nguvu kazi ya kutosha yenye ujuzi unahoitajika katika soko la ajira katika kutengeneza bidhaa za ngozi nchini

2. Ofisi inapenda kutangaza nafasi 1000 za mafunzo yatakayoanza ifikapo tarehe 30 February 2017, katika Taasisi ya Tekinolojia Dar es Salaam kampasi ya Mwanza. vijana wakitanzania wenye elimu ya msingi na kendelea na umi kati ya miaka 18 hadi 35 wanaopenda kujiunga na mafunso wawasilishe maombi yao kuanzai tarehe 22/012017 hadi 04/02/2017 yakiambatanishwa na nyaraka zifuatazo
i) barua ya maombi yenye anuani kamili ikiwa na namba za simu pamoja na barua pepe
ii) nakala ya cheti cha elimu uliyohitimu
iii) nakala ya cheti cha kuzaliwa au kadi ya mpiga kura
iv) barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa unayoishi
v) picha 4 za passport

3. maombi yawasilishwe kwa
MKUU WA KAMPASI,
TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM – KAMPASI YA MWANZA,
S.L .P 2525,
MWANZA
AU KWA BARUA PEPE This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

[yuzo_related]