Sales Executives – Dar es salaam – The Learners Recruitment

Since its establishment, TLF has been solely involved in the provision of supportive basic elementary and supplementary trainings on various needy groups. The principal focus of TLF on training has been largely directed to areas that are not normally covered by formal academic
Institutions which only dwell on the formalized scholarly system in schools and colleges whereas, prospect scholars are expected to excel through examinations at the end of a given course.
The chances to that particular opportunity are limited to vast community group due to the existing hierarchical educational system structure.
However, a research conducted by TLF and findings thereto, has proven that one can still be a resourceful member of a society not only by going through a formal academic channel but also through a special alternative well designed skill improvement program.

TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KUTOKA THE LEARNERS RECRUITMENT CHINI YA THE LEARNERS FOUNDATION.

The learners recruitment ikishirikiana na Dar es salaam school of management inatangaza nafasi za ajira kwa wahitimu wenye elimu ngazi ya cheti na stashahada katika nafasi zifuatazo:
1. Office secretaries
2. Office receptionists
3. Drivers
4. Office administrators
5. Sales executives

Masharti kwa waombaji wote:
1. Waombaji wote wawe hawajaajiliwa ajira za kudumu
2. Waombaji wote Wawe tayari kufanya kazi eneo lolote au mkoa wowote ndani ya Tanzania
3. Waombaji wote Wawe tayari kuhudhuria mafunzo ya ajira na uzoefu kwa muda wa wiki 4 darasani na wiki 8 mafunzo kwa vitendo ndani ya kampuni zitakazo waajili.
4. Waombaji wote wawe tayari kulipia gharama za mafunzo ya wiki nne darasani yatakayogharimu kiasi cha TSHs. 300,000/=

Kumbuka: muda wote wa mafunzo ya darasani waajili hawatahusika na gharama zozote za malazi kwa waombaji, na atakayelipia ni yule tu atakayepita katika usaili wa kujiunga na mafunzo.
Baada ya mafunzo ya wiki 12 wahitimu wote wataunganishwa na ajira zao. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 23 /05 / 2015 saa 10:00 jioni.
Waombaji wote watume CV zao kupitia anuani yetu ya barua pepe: info@tlf.co.tz
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba: 0754634077, 0717293999, 0767451031 na 0763388884

Imetolewa na:
Emmanuel S. Michael
Meneja mahusiano, mipango na maendeleo
The Learners Foundation
S.L.P 70940
Simu namba: 0754634077
Email: emichael@tlf.co.tz

[yuzo_related]